Mazoezi ya Ukakamavu
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP), Simon Sirro (kushoto mbele)
akifanya mazoezi ya ukakamavu na askari wa kikosi cha kupambana na
uhalifu mkoa wa Lindi baada ya kumaliza ukaguzi wa kikosi hicho akiwa
kwenye ziara yake ya kikazi mkoani humo jana.
No comments:
Post a Comment