MAJANI YA MSTAFELI NI DAWA YA SARATANI YA TEZI DUME KILA MTU AMEKUWA AKIIZUNGUMZIA
Majani ya mti wa mstafeli yamekuwa yakitumika na watu kwenye misitu ya
amazon kwa maelfu ya miaka iliyopita kutibu karibu kila ugonjwa. Ndiyo
hii inaweza kuwa ni habari mpya kwako hasa kama wewe siyo mfuatiliaji wa
mambo haya ya tiba asili kwa ujumla lakini sasa habari unayo.
Mti huu wa mstaferi ndiyo tiba asili pekee inazungumziwa sana na watu
wote duniani kwa sasa kuhusu maajabu yake ya kutibu saratani mbalimbali
ikiwemo saratani ya tezi dume.
Na hiyo yote ni kwa sababu nzuri tu ….
Majani ya mti wa mstafeli yanaziua seli za saratani mara 10000 zaidi ya
mionzi. Na jambo la ajabu zaidi ni kuwa dawa hii haizidhuru seli hata
kidogo tofauti na tiba ya mionzi ambayo inaziua mpaka seli nyingine
zenye afya wakati wa matibabu yake.
Yaani dawa hii ya majani ya mstafeli huziwinda seli za kansa na kuziua
huku ikikuachia seli zako zenye afya bora zaidi. Kama haitoshi majani ya
mstafeli yanaongeza pia idadi na uwingi wa seli zako nyeupe za damu na
kuongeza kinga ya mwili kwa haraka sana.
Majani haya yamethibitika siyo kutibu saratani au kansa ya tezi dume
bali na aina nyingine za saratani zaidi ya 12 ambazo ni pamoja na:
1. Saratani ya damu
2. Saratani ya matiti
3. Saratani ya mlango wa kizazi
4. Saratani ya mapafu
5. Saratani ya ini
6. Saratani ya mdomo
7. Saratani ya kwenye ulimi
8. Saratani ya kongosho
9. Saratani ya kwenye mji wa uzazi
10. Na Saratani nyingine nyingi
Majani ya mstafeli ni dawa nzuri dhidi ya bakteria na fangasi mbalimbali
mwilini na hivyo ni kinga dhidi ya maambukizi ya kila namna.
Majani ya mstafeli yanatibu pia:
1. Kisukari
2. Gout (maumivu ya jongo)
3. Maumivu ya mgongo
4. Yanaongeza kinga ya mwili
5. Yanaimarisha afya ya tumbo kwa ujumla
6. Kufunga choo
7. Msongo wa mawazo (stress)
8. Yanaimarisha afya ya nywele
9. Yanaimarisha afya kwenye mfumo wa upumuwaji
10. Yanaongeza afya ya ngozi
11. Mazuri kwa afya ya moyo
12. Yanadhibiti homa na kutuliza joto la mwili
Dawa kubwa ya saratani ambayo watu wengi hawaifahamu …
Kuna wakati namtafakari Mungu na nashindwa kupata majibu kwamba kuna
wakati watu wanateseka sana lakini bila sababu yoyote maalumu zaidi ya
kukosa tu maarifa.
Kile nitakushangaza kidogo hapa ni kuwa uwezo huu wa majani ya mstafeli
kutibu kansa uligundulika tangu mwaka 1976 na taasisi ya saratani ya
Marekani lakini matokeo yake hayajawahi kuwekwa hadharani kwa watu!
Kwanini hawakutaka kutangaza kwa watu?
Hakuna mtu anayejuwa kwa hakika sababu ni nini iliyowafanya wabaki na
matokeo hayo bila kutangaza kwa watu. Hata hivyo wengi wanaamini ni
kutokana na vipimo na matibabu ya ugonjwa huu kuwa ni dili kubwa kwa
viwanda vya madawa na biashara kubwa kote duniani.
Sababu kuweza kutibu ugonjwa mkubwa hivyo (kwa mjibu wa maoni yao) kwa
kutumia mmea rahisi hivyo kupatikana ni jambo lisilo na faida. Matatizo
mengi ya binadamu chanzo chake kikuu cha matatizo hayo ni hela.
Pamoja na hayo Mungu yupo na hatatuacha watu wote tuangamie kijinga
hivyo. Wachache atatuokoa tu kwa namna yoyote. Hivyo watu wengi tayari
wameanza kugeuka upande huu wa pili na tayari wanaona faida zake.
Utatumiaje majani ya mstafeli kama dawa?
Namna nzuri zaidi na ili kujihakikishia unapata faida zake kwa kiwango
cha juu kabisa ni kutumia juisi freshi ya majani haya. Unachohitaji ni
kuwa na blenda ya umeme, maji na majani mabichi ya mstafeli. Tengeneza
juisi yako tuseme majani 6 unaweza kutengeneza juisi vikombe viwili
(nusu lita) na unywe kikombe kimoja (robo lita) kutwa mara kila nusu saa
kabla ya chakula cha asubuhi na cha jioni kwa mwezi mmoja mpaka miwili.
Ni dawa nzuri kwa kansa karibu zote pia inaondoa uvimbe wa aina yoyote.
Unaweza pia kutengeneza chai ukitumia majani haya, unaweza pia kukausha
majani yake na utwange au usage mashineni upate unga wake lakini bado
juisi freshi ndiyo itakupa matokeo mazuri zaidi.
Mimi nimekupa taarifa hizo bure na wewe endelea kupeleleza zaidi na kufanya utafiti binafsi zaidi.
Kama unahitaji juisi freshi ya majani ya mstafeli tuwasiliane WhatsApp
+255769142586, juisi ya majani ya mstaferi nauza 23000 inakuwa na ujazo
wa lita 5 na unaweza kutumia siku 10.
Nipo Dar Es Salaam, napatikana maeneo ya Buza Sigara Temeke, ofisi yangu
inaitwa Vctoria Home Remedy, naweza pia kukuletea ulipo ndani ya Dar
naweza pia kukutumia popote ulipo nje ya Dar
Kama maelezo haya yanakusaidia kwa namna yoyote unaweza kunizawadia chochote kwenye TigoPesa 0714800175 (Fadhili Paulo).
Home »
AFYA
,
LISHE
» MAJANI YA MSTAFELI NI DAWA YA SARATANI YA TEZI DUME KILA MTU AMEKUWA AKIIZUNGUMZIA
No comments:
Post a Comment