Mshambuliaji
wa Simba na timu ya taifa ya Uganda, Emmanuel Okwi amefanikiwa kuwa
baba kwa mara nyingine, hiyo ni kutokana na mkewe kujifungua mtoto wa
kike.
Mtoto huyo ambaye ni wa pili kwa Okwi na mkewe baada ya awali kuwa na mtoto wa kiume, alizaliwa jana Ijumaa.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram Okwi ametuma ujumbe wa furaha kwa mashabiki wake akiwajulisha juu ya kuongezeka kwa familia yake, mapema leo Jumamosi.
Okwi ameandika ujumbe huu: “Some good news to share with you fam. Yesterday we welcomed a beautiful princess into this world. Both Mum and the baby are fine. @florahwoods_mrs_okwi you are such a wonderful Mum.”

No comments:
Post a Comment