Mshauri mmoja wa mgombea wa urais
nchini Marekani Donald Trump ,amesema kuwa mfanyibiashara huyo bilionea
huenda akatumia mjadala wa Jumatatu kuzua historia ya uhusiano wa
kimapenzi wa Bill Clinton.
Rudy Giuliani amesema kuwa Trump na Hillary wana maswala katika maisha yao ya kibinafsi ambayo ni ya aibu.Alikuwa akijibu hisia kali zilizojiri dhidi ya Trump baada ya madai ya kuwatusi wanawake.
No comments:
Post a Comment