• Michezo Kimataifa 1/5

    Kiungo wa kati wa Liverpool Phillipe Coutinho ni moto wa kuotea mbali katika lango la Arsenal Mshambuliaji wa Arsenal Olivier Giroud atakosa mechi ya Ijumaa pamoja na mechi kadhaa za wakati wa likizo kutokana na jeraha la nyuma ya goti.

  • Bill Clinton na mkewe Hillary Clinton 2/5

    Mshauri mmoja wa mgombea wa urais nchini Marekani Donald Trump ,amesema kuwa mfanyibiashara huyo bilionea huenda akatumia mjadala wa Jumatatu kuzua historia ya uhusiano wa kimapenzi wa Bill Clinton.

  • Waziri wa Ulinzi amewatembelea wanajeshi wa Tanzania nchini DRC 3/4

    Ikiwa zimepita siku 16 tangu kuuawa kwa askari 14 wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) waliokuwa kwenye oparesheni ya ulinzi wa amani katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Waziri wa Ulinzi wa Tanzania Husssein Mwinyi amewatembelea wanajeshi wa Tanzania waliopo nchini humo.

  • Hifadhi ya taifa ya mlima Kilimanjaro 4/4

    Kilimanjaro ni miongoni wa vilele virefu vinavyofikika duniani, ni alama kwa wageni wengi kutoka duniani kote yenye kilomita za mraba 1668 (maili za mraba 641), kaskazini mwa Tanzania, karibu na mji wa Moshi wapandaji mlima wengi wanafika katika ukingo wa Kreta kwa kutumia fimbo ya kutembelea, mavazi yanayofaa na nia thabiti.

Pic

...
Share:

Nafasi za Ajira Tanzania Communication Regulatory Authority (TCRA)

TCRA Imetangaza nafasi za Ajira kwa watu wenye viwango hivi:- Bachelor’s Degree in Information Technology, Computer Science, Computer Engineering, business information systems, Software engineering, Software Development, or equivalent qualifications from a reputable academic institution; Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 3/1/2018....
Share:

UTAFITI: Kufuga mbwa kunapunguza kwa 36% vifo vitokanavyo na magonjwa ya moyo

Utafiti uliofanywa na wanasayansi nchini Sweden unaonesha kuwa watu wanaofuga mbwa hupunguza hatari ya kifo kutokana na magonjwa ya moyo. Utafiti huo unaonesha kuwa kufuga mpya hupunguza kwa asilimia 36 hatari ya kifo kwa wenye magonjwa ya moyo hususani kwa wanaoishi peke yao. Kwenye nyumba ambazo huishi watu wengi,...
Share:

Watu 22 wahofiwa kufa maji ziwa Tanganyika baada ya boti kugongana

Maafisa nchini Tanzania wanasema karibu watu ishirini na wawili wanahofiwa kufa maji baada ya boti kugongana katika ziwa Tanganyika mapema leo asubuhi. Mashua moja iliyokuwa imebeba takriban watu mia moja na arubaini waliyokuwa safarini kwa shughuli ya kidini iligongana na boti iliyokuwa na watu sitini na watano. Usafiri...
Share:

Bill Clinton na mkewe Hillary Clinton

Mshauri mmoja wa mgombea wa urais nchini Marekani Donald Trump ,amesema kuwa mfanyibiashara huyo bilionea huenda akatumia mjadala wa Jumatatu kuzua historia ya uhusiano wa kimapenzi wa Bill Clinton. Rudy Giuliani amesema kuwa Trump na Hillary wana maswala katika maisha yao ya kibinafsi ambayo ni ya aibu. Alikuwa akijibu...
Share:

MAJANI YA MSTAFELI NI DAWA YA SARATANI YA TEZI DUME KILA MTU AMEKUWA AKIIZUNGUMZIA

MAJANI YA MSTAFELI NI DAWA YA SARATANI YA TEZI DUME KILA MTU AMEKUWA AKIIZUNGUMZIA Majani ya mti wa mstafeli yamekuwa yakitumika na watu kwenye misitu ya amazon kwa maelfu ya miaka iliyopita kutibu karibu kila ugonjwa. Ndiyo hii inaweza kuwa ni habari mpya kwako hasa kama wewe siyo mfuatiliaji wa mambo haya ya tiba...
Share:

Arsenal kulipiza kisasi dhidi ya Liverpool

Mshambuliaji wa Arsenal Olivier Giroud atakosa mechi ya Ijumaa pamoja na mechi kadhaa za wakati wa likizo kutokana na jeraha la nyuma ya goti. Francis Coquelin huenda huenda akashiriki katika mechi hiyo licha ya kuguchia katika mechi ya ushindi wa kombe la Carabao huku Shkrodan Mustafi akitarajiwa kushirikishwa...
Share:

Mkenya Victor Wanyama kurudi katika kikosi cha Tottenham

Kiungo wa kati wa Tottenham Victor Wanyama amerudi katika mazoezi kufuatia jeraha la goti na huenda akarudi katika kikosi cha Pochetino kulingana na meneja huyo. Wanyama hajaichezea Spurs tangu timu hiyo ishindwe 2-1 na Chelsea mnamo mwezi Agosti. Okocha amsifu mchezaji wa Kenya Victor Wanyama Pochettino: Mkenya...
Share:

Popular Posts

Followers

Search This Blog

My Blog List

Labels

Contributors